Ukurasa wa nyumbani

Karibu kwenye nyumba ya Wakwaya

Kitabu cha Luka kwa lugha ya Kikwaya

Hapa utaweza kupata vitabu, vitu vya kusikiliza na vya kutazama vyote kwa lugha ya Kikwaya! Kuna vitabu kwa watu wote, maandishi yaliyorekodiwa na video za kufurahisha!

 Kama una mawazo au maoni yeyote wasiliana nasi.

 

Asante sana!